Matarajali 2001 - 2009
- Judith Szkaley – Oktoba bis Novemba 2008
- Uta Frömel – Oktoba bis Dezember 2008
- Catharina Zschieck – Oktoba 2008 bis Februari 2009
- Katharina Puff – Novemba 2007 bis Januari 2008
- Kirsten Reichert – Oktoba bis Dezember 2007
- Franziska Mitzschke/Sebastian Pohlack – März bis Juni 2007
- Tanja Warkentin - Mai - Juli 2006
- Veronika Seifert - Mai - Juli 2006
- Louisa Farinde – Januari 2006 - März 2006
- Jennifer Seitz – Novemba – Januari 2005
- Nadine Rosenkranz – Novemba – Januari 2005
- Julia Pachmann – Septemba - Novemba 2005
- Michaela Unterholzner - Februari - Aprili 2005
- Diana Stein - Novemba 2004 - Januari 2005
- Heike Matthes - Septemba - Novemba 2003
- Annegret Beier - Oktoba/Novemba 2003
- Friederike Künstner - Septemba 2003
- Christian Ehrt - Septemba 2003
- Uwe Koch - Augosti 2001
- Frank Ibold - Augosti 2001
- Sandy Martens - Julai - Septemba 2001
Wajibu wake
- Kuwahudumia na kuwafundisha watoto yatima
- Kuwatembelea walezi wa watoto yatima, pamoja na wagonjwa na wazee
- Kuhudhuria kwenye vikao vya wanachama wa UWAKIKI
- Kusaidia kazi za nyumbani, kwa mfano: kuchota maji, kukusanya kuni, kupika, kuvua ngou, kulima, kulea watoto n.k.
Mapokezi
- Kupokewa na kukubaliwa katika familia Kakyaija
- Mhudumu mkuu na Jeska Karumuna
- Malazi bora na chakula
Maelezo zaidi
- Vizuri mtu akijua Kiswahili kidogo, lakini si lazima – lazima mtu ajue Kiingereza
- Kukambulishwa mila na desturi za Wahaya (k.m. kwenda sokoni, kanisani/mskikitini, kuhudhuria katika sherehe, ketembelea vijijini vilivoko karibu)
- Mtu analazimika kukaa si chini ya wiki nne
- Baada ya kuhitinisha kazi za kitendo, mtu anaweza kupata shahada
Gharama
Safari kwenda na kurudi gharama zote juu yako. Malazi na chukula 2 US$ kwa siku. Mchango kwa UWAKIKI kwa siku 1,50 US$. Hakuna ushusu mwengine zaidi.
Kama Umevutiwa basi utume maombi yake kwa njia ya barua pepe: uwakiki@gmx.net